Yeremia 51:55 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana mimi Mwenyezi-Mungu naiangamiza Babuloni,na kuikomesha kelele yake kubwa.Adui ananguruma kama mawimbi ya maji mengi,sauti ya kishindo chao inaongezeka.

Yeremia 51

Yeremia 51:51-64