Yeremia 51:52 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kwa hiyo, wakati unakuja,nasema mimi Mwenyezi-Mungu,ambapo nitaviadhibu vinyago vya Babuloni,na majeruhi watapiga kite katika nchi yake yote.

Yeremia 51

Yeremia 51:49-61