Yeremia 51:50 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nyinyi mlinusurika kifo,ondokeni sasa, wala msisitesite!Ingawa mko nchi ya mbali mkumbukeni Mwenyezi-Mungu,ukumbukeni pia mji wa Yerusalemu.

Yeremia 51

Yeremia 51:43-57