Yeremia 51:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Wewe Babuloni ni rungu na silaha yangu ya vita;nakutumia kuyavunjavunja mataifa,nakutumia kuangamiza falme.

Yeremia 51

Yeremia 51:17-30