Yeremia 51:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ndiye aliyeumba dunia kwa nguvu yake,aliyeuimarisha ulimwengu kwa hekima yake,na kwa maarifa yake akazitandaza mbingu.

Yeremia 51

Yeremia 51:12-19