Yeremia 50:37 Biblia Habari Njema (BHN)

Kifo kwa farasi wake na uharibifu kwa magari yake,kifo kwa majeshi yake yote ya kukodiwa,ili wawe na woga kama wanawake!Uharibifu kwa hazina zake zoteili zipate kuporwa.

Yeremia 50

Yeremia 50:32-46