Yeremia 50:32 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenye kiburi atajikwaa na kuanguka,wala hapatakuwa na mtu wa kumwinua.Nitawasha moto katika miji yake,nao utateketeza kila kitu kandokando yake.”

Yeremia 50

Yeremia 50:22-40