Yeremia 50:21 Biblia Habari Njema (BHN)

“Pandeni, mwiendee nchi ya Merathaimu,nendeni kuishambulia;washambulieni wakazi wa Pekodina kuwaangamiza kabisa watu wake.Nasema mimi Mwenyezi-Mungu.Fanyeni kila kitu nilichowaamuru.

Yeremia 50

Yeremia 50:14-28