Yeremia 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi:“Kwa kuwa wao wamesema jambo hilo,sasa nitayafanya maneno niliyokupa wewe Yeremia kuwa moto.Watu hawa watakuwa kuni,na moto huo utawateketeza.

Yeremia 5

Yeremia 5:10-20