Yeremia 49:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Kimbieni enyi wakazi wa Dedani;geukeni mkaishi mafichoni!Maana nitawaleteeni maangamizienyi wazawa wa Esau;wakati wa kuwaadhibu umefika.

Yeremia 49

Yeremia 49:1-12