Basi, mimi nitawaleteeni vitishokutoka kwa jirani zenu wote,nanyi mtafukuzwa nje kila mtu kivyake,bila mtu wa kuwakusanya wakimbizi.Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimesema.