Yeremia 49:3 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ombolezeni, enyi watu wa Heshboni,maana mji wa Ai umeharibiwa!Lieni enyi binti za Raba!Jifungeni mavazi ya gunia viunoniombolezeni na kukimbia huko na huko uani!Maana mungu Milkomu atapelekwa uhamishoni,pamoja na makuhani wake na watumishi wake.

Yeremia 49

Yeremia 49:1-11