Yeremia 49:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini nimemnyanganya Esau kila kitu,naam, nimeyafunua maficho yake,wala hawezi kujificha tena.Watoto, ndugu na jirani zake wameangamizwa;hakuna hata mmoja aliyebaki.

Yeremia 49

Yeremia 49:1-16