Yeremia 49:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuhusu Waamoni.Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Je, Israeli hana watoto?Je, hana warithi?Mbona basi mungu Milkomu amemiliki Gadina watu wake kufanya makao yao mijini mwake?

Yeremia 49

Yeremia 49:1-8