Yeremia 48:2 Biblia Habari Njema (BHN)

fahari ya Moabu imetoweka.Mpango ulifanywa huko Heshboni dhidi yake:‘Haya! Tuwaangamize wasiwe tena taifa!’Nawe Madmeni utanyamazishwa,upanga utakufuatia.

Yeremia 48

Yeremia 48:1-3