Tandikeni farasi na kuwapanda,Shikeni nafasi zenu na kofia za chuma mvae.Noeni mikuki yenu,vaeni mavazi yenu ya chuma!