Yeremia 46:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu,kwa maana mimi niko pamoja nawe.Nitayaangamiza kabisa mataifa yoteambayo nimekutawanya kati yao,lakini wewe sitakuangamiza.Nitakuchapa kadiri unavyostahili,sitakuacha bila kukuadhibu.”

Yeremia 46

Yeremia 46:21-28