Yeremia 46:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Wataukata kabisa msitu wake, ingawa haupenyeki,nasema mimi Mwenyezi-Mungu,maana wao ni wengi kuliko nzige wasiohesabika.

Yeremia 46

Yeremia 46:15-24