Yeremia 46:14 Biblia Habari Njema (BHN)

“Tangaza nchini Misri,piga mbiu huko Migdoli,tangaza huko Memfisi na Tahpanesi.Waambie: ‘Kaeni tayari kabisamaana upanga utawaangamiza kila mahali.’

Yeremia 46

Yeremia 46:10-18