Yeremia 4:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilisikia sauti kama ya mwanamke anayejifungua,yowe kama anayejifungua mtoto wa kwanza.Ilikuwa sauti ya Yerusalemu akitweta,na kuinyosha mikono yake akisema,‘Ole wangu!Wanakuja kuniua!’”

Yeremia 4

Yeremia 4:28-31