Yeremia 4:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Watakaposikika wapandafarasi na wapiga mishale,kila mmoja atatimua mbio.Baadhi yao watakimbilia msituni,wengine watapanda majabali.Kila mji utaachwa tupu;hakuna mtu atakayekaa ndani.

Yeremia 4

Yeremia 4:22-31