Yeremia 4:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Uchungu, uchungu!Nagaagaa kwa uchungu!Moyo wangu unanigonga vibaya.Wala siwezi kukaa kimya.Maana naogopa mlio wa tarumbeta,nasikia kingora cha vita.

Yeremia 4

Yeremia 4:10-27