Yeremia 37:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Sasa nakuomba unisikilize, ee bwana wangu mfalme. Nakusihi sana ulikubali ombi langu. Tafadhali usinirudishe tena gerezani katika nyumba ya katibu Yonathani, nisije nikafia humo.”

Yeremia 37

Yeremia 37:17-21