Yeremia 37:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Yeremia akamwambia, “Huo ni uongo! Mimi sitoroki na kwenda kujiunga na Wakaldayo.” Lakini Iriya hakusadiki maneno ya Yeremia. Basi akamtia nguvuni na kumpeleka kwa maofisa.

Yeremia 37

Yeremia 37:7-20