Yeremia 31:20 Biblia Habari Njema (BHN)

“Efraimu ni mwanangu mpendwa;yeye ni mtoto wangu nimpendaye sana.Ndio maana kila ninapomtisha,bado naendelea kumkumbuka.Moyo wangu wamwelekea kwa wema;hakika nitamhurumia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Yeremia 31

Yeremia 31:12-24