Yeremia 31:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Sauti imesikika mjini Rama,maombolezo na kilio cha uchungu.Raheli anawalilia watoto wake,wala hataki kufarijiwa kwa ajili yao,maana wote hawako tena.

Yeremia 31

Yeremia 31:14-25