Yeremia 31:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Enyi mataifa, sikilizeni neno langu mimi Mwenyezi-Mungu,litangazeni katika nchi za mbali,semeni: ‘Aliyemtawanya Israeli, atamkusanya,atamtunza kama mchungaji atunzavyo kondoo wake.’

Yeremia 31

Yeremia 31:4-12