Tazama, dhoruba kali kutoka kwa Mwenyezi-Mungu!Ghadhabu imezuka,kimbunga cha tufanikitamlipukia mtu mwovu kichwani.