Yeremia 30:10 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi:Usiogope ee Yakobo mtumishi wangu,wala usifadhaike, ee Israeli;maana nitakuokoa huko mbali uliko,na wazawa wako kutoka uhamishoni.Utarudi na kuishi kwa amani,wala hakuna mtu atakayekuogopesha.

Yeremia 30

Yeremia 30:3-16