Kweli tumedanganyika mno kuabudu huko vilimani,hakika wokovu wa Israeliwatoka kwake Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.