Yeremia 29:31 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wapelekee watu wote walioko uhamishoni ujumbe huu: Mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi juu ya Shemaya wa Nehelamu: Shemaya amewatabirieni, hali mimi sikumtuma, akawafanya muuamini uongo.

Yeremia 29

Yeremia 29:21-32