Yeremia 25:38 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu amewaacha watu wake,kama vile simba aachavyo pango lake;nchi yao imekuwa jangwa tupu,kwa sababu ya vita vya wadhalimu,na hasira kali ya Mwenyezi-Mungu.

Yeremia 25

Yeremia 25:34-38