Yeremia 25:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Vishindo hivyo vitasikika hadi mwisho wa dunia,maana Mwenyezi-Mungu ana mashtaka dhidi ya mataifa;anawahukumu wanadamu wote,na waovu atawaua kwa upanga!Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Yeremia 25

Yeremia 25:25-33