Yeremia 23:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini, ni yupi kati ya manabii haoaliyepata kuhudhuria baraza la Mwenyezi-Mungu,hata akasikia na kuelewa neno lake?Au ni nani aliyejali neno lake,hata akapata kulitangaza?

Yeremia 23

Yeremia 23:14-21