Yeremia 22:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:Mwandike mtu huyu kwamba hana watoto,mtu ambaye hatafanikiwa maishani mwake.Maana hakuna hata mmoja wa wazawa wakeatakayekikalia kiti cha enzi cha Daudina kutawala tena katika Yuda.

Yeremia 22

Yeremia 22:20-30