Yeremia 22:13 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ole wako Yehoyakimuwewe unayejenga nyumba kwa dhulumana kuiwekea ghorofa bila kutumia haki.Unawaajiri watu wakutumikie burewala huwalipi mishahara yao.

Yeremia 22

Yeremia 22:7-23