Yeremia 20:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi,wewe humthibiti mtu mwadilifu,huona yaliyo moyoni na akilini mwa watu,unijalie kuona ukiwalipiza kisasi,maana kwako nimekiweka kisa changu.

Yeremia 20

Yeremia 20:9-18