Niliwaleta katika nchi yenye rutuba,muyafurahie mazao yake na mema yake mengine.Lakini mlipofika tu mliichafua nchi yangu,mkaifanya chukizo nchi niliyowapa iwe yenu.