Na huko pia utatoka,mikono kichwani kwa aibu.Mimi Mwenyezi-Mungu nimewakataa wale uliowategemea,wala hutafanikiwa kwa msaada wao.