Yeremia 2:28 Biblia Habari Njema (BHN)

“Lakini iko wapi miungu yako uliyojifanyia?Iinuke basi, kama inaweza kukusaidia,wakati unapokuwa katika shida.Ee Yuda, idadi ya miungu yakoni sawa na idadi ya miji yako!

Yeremia 2

Yeremia 2:27-37