Simba wanamngurumia,wananguruma kwa sauti kubwa.Nchi yake wameifanya jangwa,miji yake imekuwa magofu, haina watu.