Kilio na kisikike majumbani mwao,unapowaletea kundi la wanyanganyi ghafla.Maana wamechimba shimo waninase;wameitegea mitego miguu yangu.