Yeremia 17:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Huyo ni kama kichaka jangwani,hataona chochote chema kikimjia.Ataishi mahali pakavu nyikani,katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.

Yeremia 17

Yeremia 17:1-12