Yeremia 17:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Waambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Kwa usalama wa maisha yenu, muwe na hadhari msije mkabeba mzigo siku ya Sabato, au kuingiza mzigo mjini kupitia malango ya Yerusalemu.

Yeremia 17

Yeremia 17:17-22