Yeremia 17:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Waaibishwe wale wanaonitesa,lakini mimi usiniache niaibike.Wafedheheshwe watu hao,lakini mimi usiniache nifedheheke.Uwaletee siku ya maafa,waangamize kwa maangamizi maradufu!

Yeremia 17

Yeremia 17:9-24