Sikuketi pamoja na wanaostarehe,wala sikufurahi pamoja nao.Niliketi peke yangu nimelemewa nguvu yako;kwa maana ulinijaza hasira yako.