Yeremia 14:7 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nao watu wanasema:Ingawa dhambi zetu zashuhudia dhidi yetu,utusaidie ee Mwenyezi-Mungu kwa heshima ya jina lako.Maasi yetu ni mengi,tumetenda dhambi dhidi yako.

Yeremia 14

Yeremia 14:1-9