Wamelifanya kuwa tupu;katika ukiwa wake lanililia.Nchi yote imekuwa jangwa,wala hakuna mtu anayejali.