Yeremia 12:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni mwadilifu,ingawa nakulalamikia.Lakini ningependa kutoa hoja zangu mbele yako:Kwa nini waovu hufanikiwa katika mambo yao?Mbona wote wenye hila hustawi?

Yeremia 12

Yeremia 12:1-9