Yeremia 10:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nani asiyekuogopa wewe, ee mfalme wa mataifa?Wewe wastahili kuheshimiwa.Miongoni mwa wenye hekima wote wa mataifa,na katika falme zao zote,hakuna hata mmoja aliye kama wewe.

Yeremia 10

Yeremia 10:1-16